Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 13, 2018

MAGUFULI CHUKUA HATUA SISI HATUTAKAA KIMYA(wazee wa chadema)

Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA)kupitia baraza lake la wazee wamemtaka Rais magufuli kuchukua hatua kwa haya yanayo endelea nchini ya kisiasa, kiuchumi nchini kabla haya machafuko hayajatokea....wazee wa chadema wamesema.