Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 14, 2018

Hakika mungu ni waajabu

Tazama mh.Rais dr. John Pombe Magufuri alivyo sali ama alivyo fanya maombi na watoto vilema walio shikana alipo enda kuwajulia hali katika hospitali ya taifa muhimbili. Kama nawe umeguswa na unaungana na hawa watoto katika maombi usipite bila kusema amen na mungu atakubariki. Tazama video hapo juu