Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 29, 2018

Bao la Samatta lawaumiza Wakongo, wataka viongozi wao waachie ngazi

Bao la Samatta lawaumiza Wakongo, Wataka Viongozi wao waachie ngazi Uhakika media 5  · 2 hours ago Mashabiki wa DR Congo wameamsha sekeseke kwa shirikisho la soka nchini humo wakidai halikuwa na maandalizi mazuri na timu yao.  Hii inatokana na kero ya kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Tanzania na hasa lile bao na nahodha, Mbwana Samatta.  Wengi wa mashabiki waliotoa maoni yao katika kipindi cha Okapi Radio wamelaani kitendo hicho,  Mtanzania Rashid Said anayeishi nchini Congo amesema wamekuwa wakilalamika sana na hasa bao la Samatta.  “Unajua huku hawaelewani sana na hasa maeneo, mfano hapa Lubumbashi na Kinshasa ni mbali sana na watu wana maisha tofauti utafikiri ni nchi mbili tofauti.  “Lakini linapofikia suala la mpira, wanaungana na wanazungumza lugha moja. Hawakupenda kufungwa na Tanzania lakini kufungwa na Samatta kumewaudhi zaidi.  “Wanalalamika sana na katika maoni yao wanataka hata viongozi wa shirikisho lao waachie ngazi,” alisema.  Samatta alifunga bao la kwanza katika

VIDEO: Mbowe na wenzake chanzo cha chuki ni kifo cha Akwilina

VIDEO: Mbowe na Wenzake chanzo cha chuki na Kifo cha Akwillina - Phillipo Mwakibinga Uhakika media 3  · 6 minutes ago Mkurugenzi wa utafiti kutoka watetezi wa rasilimali wasio na mipaka (WARAMI) Bw. Phillipo Mwakibinga, amesema kuwa mbowe na wenzake wamekamatwa kama matokeo ya matendo yao ya ushawishi na kuchochea chuki kwa watanzania jambo ambalo sio tamaduni ya watanzania na kusisitiza kuwa mbowe na wenzake ni chanzo cha kifo cha akwillina  TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..........USISAHAU KUSUBSCRIBE....................

Chadema wapeleka malalamiko Ubalozi wa Ulaya

Chadema wapeleka malalamiko yao ubalozi wa Ulaya Uhakika media 5  · 4 minutes ago WABUNGE wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, wamepeleka malalamiko yao kwenye ubalozi wa Ulaya nchini kuhusiana na kesi inayowakabili viongozi wa juu wa chama hicho ambao wamekuwa mahabusu toka juzi jumanne.  Akizungumza kwa niaba ya wenzake Mbunge wa Arusha Mjini, Godbles Lema amesema wameamua kufika ubalozini hapo kueleza masikitiko yao ya kucheleweshwa kufikishwa mahakamani kwa viongozi wao ambao kesi yao inapaswa kusikilizwa leo kwenye mahakama ya hakimu mkazi Kisutu.  Viongozi wa chama hicho ambao wanakabiliwa na kesi hiyo ni pamoja na Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Freeman Mbowe, Katibu Mkuu, Dk Vicent Mashinji, Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salimu Mwalimu, Mwenyekiti wa kanda ya Nyasa na Mbunge wa Iringa Mjini, Mch Peter Msigwa pamoja na Mweka Hazini wa Bawacha na Mbunge wa Tarime Mjini, Easter Matiko.  " Tunapatwa wasiwasi na dhamana ya vio

Mwanafunzi ajinyonga kisa mapenzi

Mwanafunzi ajinyonga kisa Mapenzi Uhakika media 5  · 1 hour ago Binti Salma Abdalah ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili mkoani Mtwara aliyekuwa akiishi Mbawala Chini, amefariki dunia kwa kujinyonga, baada ya kukutwa na simu ambayo alipewa na mpenzi wake.  Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mtwara Lucas Mkondya, amesema tukio hilo limetokea mwanzoni mwa wiki hii baada ya wazazi wa binti huyo kuamua kumfukuza nyumbani na kumtaka kwenda kuishi kwa bibi yake kutokana na utovu wa nidhamu, na ndipo akaamua kujitoa uhai wake.  Kamanda Mkondya ameendelea kwa kueleza kwamba wazazi wake waligundua kuwa binti yao alikuwa akimiliki simu ambayo hawajamnunulia, na walipomuuliza hakuwa na jibu sahihi, ndipo baba mtu ambaye ni baba wa kufikia aliamua kumfukuza nyumbani kutokana na kuchoshwa na tabia zake za utovu wa nidhamu, na kuelekea sokoni kwenye biashara zake kumtafutia nauli, huku mama yakle kuelekea shambani kwenye shughuli zake za kilimo,  “Ni binti amba

Raia mwenye asili ya India ajinyonga

Raia mwenye asili ya India ajinyonga Iringa Uhakika media 5  · 1 hour ago Mkazi mmoja wa mkoani Iringa mwenye asili ya India, Hiren Shantilal Makvana mwenye umri wa miaka 29, amefariki dunia baada ya kujinyonga.  Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa Juma Bwire, amesema tukio hilo limetokea Machi 26 mwaka huu katika makazi ya merehemu huyo ambaye alikuwa anaishi kwenye maghorofa ya NSSF Iringa, na kwamba marehemu alijinyonga kwa kutumia khanga, na mpaka sasa chanzo cha kufikia uamuzi huo bado hakijajulikna.  “Ni kweli siku ya Machi 26 tulipata taarifa za tukio hilo, na tulipoenda tulikuta marehemu ameshajinyonga, na alijinyonga kwa kutumia khanga, mke wake hakuwepo siku ya tukio ila taarifa zinasema kuwa amesafiri kwenda India, na hajaacha ujumbe wowote”, amesema Kamanda wa Polisi Juma Bwire.  Jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi kujua chanzo cha mtu huyo kuamua kujiua, na mpaka sasa jeshi la polisi halijapata taarifa zozote kutoka kwa ndugu z

VIDEO: Breaking news kinacho endelea mahakama ya kisutu kesi ya akina Mbowe

VIDEO: Breking News: Kinachoendelea Mahakama ya Kisutu kesi ya Kina Mbowe Uhakika media 2  · 1 hour ago Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowasa akitoka nje huku Wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wakiwa nje ya Mahakama ya Kisutu jijini Dar es salaam wakifuatilia kesi inayowakabili viongozi wakuu wa chama hicho  TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE   

BREAKING NEWS: WABUNGE NA MADIWANI CHADEMA WAANDAMANA

Breaking News: Wabunge, Madiwani CHADEMA waandamana kwenda Ubalozi wa Ulaya wahofia maisha yao Uhakika media 2  · 27 minutes ago Wabunge na madiwani wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema wameandamana kuja ubalozi wa Ulaya kuja kuomba uangalizi wa usalama wakihofia usalama wa maisha yao lakini pia kuomba haki ya dhamana kwenye kesi inayowakabili viongozi wakuu wa chama hicho. 

Ney Wamitego awasilisha kazi yake BASATA

Nay wa Mitego awasilisha Kazi yake BASATA Uhakika media 5  · 11 minutes ago Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye anajulikana kuwa miongoni mwa wasanii wabishi linapokuja suala la maadili ya kazi zao, Emmanuel Elibariki maarufu kama Nay wa Mitego kwa mara ya kwanza amesalimu amri ya serikali na kuwasilisha kazi yake BASATA  kukaguliwa, lakini asema sio sababu ya kumzuia kufanya atakalo.  Akizungumza na www.eatv.tv, Nay wa Mitego amesema ameamua kufanya hivyo ili kukwepa lawama za serikali, lakini bado msimamo wake ni uleule kuwa hawawezi kumpangia cha kuimba kwenye muziki wake, kwani ndio kitu ambacho mashabiki wake wanakitaka na ndio kinachomuingizia pesa.  “Nimejaribu kufuta utaratibu, nadhani hii ni ngoma ya kwanza kwa mara ya kwanza kabla haijattoka niliwatumia BASATA, nafanya muziki wangu kama nilivyokuwa naufanya nimepunguza baadhi ya vitu, siwezi nikahama kwenye muziki wangu, yaani nitaendelea kufanya muziki wangu ule ule, nimewafikishia wimbo wangu lakini si kwa ajili

Norah afunguka haya

Norah: Wapo wengi ninaowakubali Gabo namzimia kweli Uhakika media 5  · 2 hours ago Nuru Nasoro ‘Norah’.   MKONGWE wa sinema za Kibongo, Nuru Nasoro ‘Norah’ amesema kati ya waigizaji wa kiume anaowakubali kutoka Bongo Movies ni muigizaji Gabo Zigamba.  Norah alifunguka hilo hivi karibuni alipokuwa akipiga stori mbili tatu na mwanahabari wetu ambapo alipoulizwa kuhusu listi ya wasanii wa kiume anaowakubali Bongo, moja kwa moja alianza kwa kumtaja Gabo.  Gabo Zigamba.   “Wapo wengi ninaowakubali na listi yangu inaongozwa na Gabo namzimia kweli. Wengine ninaowakubali ni JB, Frank Mwikongi, Chiki Mchoma na Dude,” alisema Norah.  Alipoulizwa nini kinamvutia zaidi kwa waigizaji hao, alisema ni namna wanavyojua kubadilika kulingana na matakwa ya filamu husika. 

Nohar: wapo wengi ninao wakubali lakini Gabo namzimia kweli

Mimi Mars: staki kuolewa na mpare

Mimi Mars: Sitaki kuolewa na Mpare Uhakika media 5  · 2 hours ago Msanii ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake kipya 'Sitamani' chini ya Mdee Music, Mimi Mars amesema hawezi kujihusisha mahusiano ya kimapenzi na mwanaume mwenye kabila la Mpare kwa madai makabila hayo wanatabia ya ubahili na kujisikia. Mimi amebainisha hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha eNewz kutoka EATV baada ya kuulizwa swali na ripota wa kipindi hicho kuwa anatamani mwanaume wa kabila gani ambaye awe naye katika mahusiano au ndoa. "Kutokana na mimi mwenye kuwa ni Mpare kwa hiyo tabia za wanaume wa kipare ninazifahamu vizuri halafu wanasema mafahari wawili hawezi kukaa zizi moja hivyo najua tutashindwana tu kwasababu wote tunajisikia, wabahili 'so' tukikaa wawili 'type' hiyo mambo yatakuwa magumu", amesema Mimi Mars. Pamoja na hayo, Mimi ameendelea kwa kusema "inanibidi nitafute kabila ambalo tofauti na mimi ndio maana sitoweza kuwa kabila hilo i

Wawili wafariki Dunia katika mlipuko wa moto Tanga

Wawili wafariki dunia katika mlipuko wa moto kwenye kituo bubu cha mafuta Uhakika media 5  · 2 hours ago WATU wawili wamefariki dunia katika mlipuko wa moto uliotokea kwenye kituo bubu cha kuuza petroli wilayani Handeni Mkoa wa Tanga.  Katika tukio hilo majeruhi mmoja, Pili Omari (19), amelazwa katika hospitali ya wilaya hiyo, baada ya kupata majeraha ya moto sehemu mbalimbali za mwili wake.  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Edward Bukombe, alisema tukio hilo lilitokea Machi 25 saa saba mchana katikaKitongoji cha Mgambo Kata ya Kwamagome  Wilaya ya Handeni.  Kwa mujibu wa Bukombe, waliofariki kwenye tukio hilo ni Hamis Mkuruto (45) ambaye ni mfanyabiashara wa mafuta hayo na Ally Haji maarufu kwa jina la ‘Tofiki’ (17) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la sita Shule ya Msingi, Maingi Kwamagome.Kamanda Bukombe alisema chanzo ni sigara iliyokuwa ikivutwa na Hamisi wakati akipima petroli na kusababisha mlipuko mkubwa wa moto uliosababisha madhara hayo.  “Baada ya miili ya marehemu kufan

IGP amesema askari wake katika mikoa yote nchini wamepangwa kikamilifu

Sirro asema askari wake katika mikoa yote nchini wamepangwa kikamilifu Uhakika media 5  · 1 hour ago INSPEKTA Jenerali wa Polisi, Simon Sirro, jana alisema askari wake katika mikoa yote nchini wamepangwa kikamilifu kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuhakikisha kuwa sikukuu ya Pasaka inasherehekewa kwa amani na utulivu. IGP Sirro alisema polisi watahakikisha hakuna vitendo vyovyote vya uhalifu vitakavyofanyika na pale vitakapojitokeza vitadhibitiwa kwa haraka.  Katika mkakati huo, IGP Sirro alisema, ulinzi utaimarishwa kwenye maeneo yote yakiwemo maeneo ya kuabudia, fukwe, sehemu za starehe na maeneo mengine ambayo yatakuwa na mikusanyiko mikubwa ya watu ili kuhakikisha wananchi wote wanasherehekea sikukuu hiyo katika hali ya utulivu.  Aidha, IGP Sirro alitahadharisha wale wote ambao watakuwa wakitumia barabara kuwa makini na kuzingatia sheria za Usalama Barabarani.  Alitaka madereva wa magari na pikipiki kuepuka kujaza watu kupita kiasi, kubeba mishikaki,

Kesi ya viongozi wa chadema polisi waimarisha ulinzi mahakamani

Kesi ya Viongozi wa Chadema, Polisi waimarisha ulinzi Mahakamani Uhakika media 5  · 18 minutes ago Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limeimarisha ulinzi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ili kudhibiti umati wa watu wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambao wamekusanyika nje ya mahakama, wasiingie kusikiliza kesi inayowakabili mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe na viongozi wenzake watano.  Mbowe na wenzake wameshafikishwa mahakamani hapo wakitokea mahabusu ya Segerea wakikabiliwa na mashtaka manane yakiwemo kufanya maandamano yaliyosababisha kifo cha mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline, Februari 16, mwaka huu, uasi na kuhamasisha chuki.  Baadhi ya wabunge wa Chadema, wafuasi wa chama hicho na wananchi wengine waliofika mahakamani kufuatilia kesi hiyo ni  Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye, Makamu Mwenyekiti wa chama hic