Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili 5, 2018

Nahodha wa England afariki

Tanzia: Nahodha wa England afariki Uhakika media 2 ·  1 hour ago  Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya England Ray Wilkins amefariki dunia leo asubuhi kwenye hospitali ya St George's London, kwa tatizo la shinikizo la moyo. Amefariki akiwa na umri wa miaka 61.  Katika enzi zake Wilkins amewahi kuzichezea klabu za Manchester United, AC Milan, Rangers na QPR. Nyota huyo wa zamani ameacha mke wake Jackie, binti yake Jade, kijana aitwaye Ross, na wajukuu Oliver, Frankie, Ava, Freddie, Jake na Archie.  Moja ya mafanikio ambayo amewahi kuyapata ni kutwaa Kombe la FA akiwa na Manchester United mwaka 1983 na Kombe la ligi kuu ya Scottland akiwa na Rangers mwaka 1989.  Wilkins aliichezea timu ya taifa ya England mechi 84 huku akiwa nahodha katika mechi 10. Pia amewahi kuwa kocha wa timu za QPR, Fulham na timu ya taifa ya Jordan.  Nguli huyo hatosahaulika kwa kuwa kocha msaidizi wa Chelsea kutoka 1998-2000 na 2008 hadi 2010, alipokuwa akifanya kazi pamoja na Guus Hiddink na Carlo Anc

Chadema watoa msimamo

Chadema watoa msimamo wao Uhakika media 2  · 1 hour ago Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema hotuba za upinzani katika Bunge la Bajeti hazitakuwepo mpaka watumishi wa sekretarieti ya upinzani watakapopatikana.  Mbowe amesema hayo leo jioni wakati akizungumza na Waandishi wa habari mjini Dodoma ambapo amesema kwamba kambi ya upinzania haina hata mtumishi mmoja na hiyo ni kutokana na kufukuzwa na Katibu wa Bunge baada ya mikataba yao kuisha disemba 2017 hali iliyopelekea  wao kukosa hata mtaalamu mmoja wa kuandaa hotuba na kuchambua nayaraka.  Aidha kiongozi huyo amesema licha ya kuona tatizo hilo aliomba kibali kwa Spika cha kuweza kuajiri watumishi lakini alipatiwa kibali cha watu watatu tu.  "Watumishi wa upinzani walifukuzwa na Katibu wa Bunge Januari kutokana na mikataba kumalizika Disemba. Nilipomfuata Katibu wa Bunge kumuuliza kulikoni unawafukuza hawa watumishi kama mbwa, akanijibu anafanya kazi kwa mujibu  wa kanuni. Ajira zao watumishi msubiri Spika. Hadi le

Abdul Nondo ahojiwa uhamiaji

Abdul Nondo ahojiwa Uhamiaji Uhakika media 2  · 1 hour ago Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanafunzi Tanzania Abdul Nondo ameitwa katika ofisi za Idara ya Uhamiaji ili kuhojiwa kuhusiana na uraia wake.  Nondo amefika ofisini hapo leo March 4, 2018 kuitikia wito huo ambapo ameelezwa kuwa taarifa zake za uraia zinahitajika ikiwa ni pamoja na taarifa za wazazi wake na babu na bibi zake kwa pande zote mbili.  Ofisi hiyo ya Uhamiaji imemuhitaji kupelea cheti chake cha kuzaliwa pamoja na vyeti vya wazazi wake wote wawili, babu na bibi zake mnamo April 20, 2018.