Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Haba

WAFUNGWA 3 NCHINI UGANDA WAFUZU KUPATA SHAHADA YA SHERIA

Wafungwa watatu wafuzu na kupata shahada ya uanasheria Uganda Saa 5 zilizopita Sambaza habari hii Facebook  Sambaza habari hii Twitter  Mshirikishe mwenzako Wafungwa watatu walisomea gerezani wamehitimu na shahada za digrii katika sheria, ikiwa ni mara ya kwanza kwa wafungwa nchini Uganda kufuzu na shahada ya uanasheria. Mpango huo unaofanikishwa na Mradi wa wafungwa barani Afrika kwa ushirikiano na chuo kikuu cha London na unanuia kuwapa wafungwa fursa ya kushiriki kikamilifu katika taratibu za kutafuta haki. Kuhitimu kwa watatu hao kutoka Gereza Kuu la Luzira kumetazamwa kama ishara ya mwamko mpya katika mfumo wa marekebisho magerezani Uganda. Pascal Kakuru, Suzzan Kigula na Moses Ekwam walipokea shahada za digree huku wakiwa wamevalia sare nyeusi za kuhitimu. Waliohukumiwa kifo Kenya wabadilishiwa hukumu ‘Sikukusudia kuyakubali makosa mahakamani' Moses Ekwam mmoja wa waliohitimu alikuwa anatumikia kifungo cha miaka mitano lakini alihudumu miaka minne baada ya kupa...