Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

ACT Wazalendo watoa mapendekezo haya kwa CAG

ACT Wazalendo Watoa mapendekezo yao, wabaini maeneo nane hatari katika ripoti ya CAG Uhakika media 5  · 8 minutes ago Leo Jumapili Aprili 15, 2018 Chama cha ACT Wazalendo kimetoa tathmini na uchambuzi wake juu ya ripoti  mpya ya Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2016/17.  Soma taarifa hiyo iliyotolewa leo Aprili 15, 2018 na Kiongozi wa ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe.  Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, CAG, Prof. Mussa Assad ametoa taarifa yake ya ukaguzi wa mapato na matumizi ya fedha za umma kwa mwaka 2016/17. Kwa sasa taarifa hiyo iko wazi kwa umma, baada ya kuwa imekabidhiwa rasmi bungeni. Sisi ACT Wazalendo, tumeisoma, kuipitia na kuichambua taarifa husika, kwa lengo la kuitumia ili itusaidie kutimiza wajibu wetu wa kuisimamia Serikali, kama chama cha Upinzani bungeni.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndugu Magufuli tayari amechukua hatua za kiuwajibikaji dhidi ya baadhi ya Watendaji w...