DALILI TANO MBAYA KWENYE UHUSIANO UKIONA, UJUE MPENZIO ANACHEPUKA Uhakika media Leo naomba pia niongelee kuhusu dalili ambazo zinaweza onekana kwa mwenza wako ambazo zinapelekea kujenga fikra kwamba "unasalitiwa" dalili hizo ni kama zifuatazo:- 1.Nakupenda lakini Sina Hisia nawe(Kwa wale ambao bado hawajaoana) Hii ni dalili kwamba Mpenzi wako ana mtu mwingine nje na inawezekana kabisa kwamba yeye ndo anapendwa zaidi yako wewe hata kama muda mwingi upo nae! Anakutumia tu huyo ! 2.Sisi ni Marafiki tu! Kwa ambao bado hawajaoana Ukimuuliza Mpenzio unanichukuliaje au mimi ni nani kwako anakuwa anasuasua sana sana utaambiwa ni marafiki tu.Na kwa ambao tupo katika Ndoa ukiuuliza vipi mbona nakuona una mazoea ya karibu mno na mtu fulani? Utaambiwa ni Rafiki tu! 3 Nahitaji muda wa kufikiria kuhusu hisia zangu! Hili nijibu tosha kwamba Kuna Mwenzio ambaye anamchanganya akili mpenzi wako na ndio maana anakuwa hivyo! Anza kukaa tayari au mguu nje, mguu ndani! 4...
https://uhakika media.blogspot.com