Uhakika media 2 · 1 hour ago
Urusi imeunga mkono mkutano kati ya rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un na rais wa China Xi Jinping mjini Beijing na kusema kuwa mkutano huo ni hatua muhimu ya kuleta mabadiliko Peninsula.
Waziri wa mambo ya nje wa Urusi amesema nchi yake ina mpango wa kuendeleza ushirikiano na China kutatua matatizo Peninsula kwa njia ya kidiplomasia.
Msemaji wa rais wa Kremlin Dmitriy Peskov amesema kuwa hakuna mkutano wowote unaotarajiwa kufanywa kati ya rais Putin na Kim Jong Un.
Hayo ameyazungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari.

Maoni
Chapisha Maoni