Hatari kuu zinazo jificha ndani ya bafu lako:
Uhakika media
Maji yakitiririka kutoka kwenye kifaa bafu ya kutumia manyunyu
Watafiti katika nchini Uingereza wanasema kuwa usafi wa bafuni ni jambo linalofaa kuzingatiwa kuliko wengi wanavyodhania.
Profesa John Oxford, katika chuo Kikuu cha Queen Mary University cha London,ameiambia BBC kuwa: "Bafu ni mahali ambapo usafi wake huwa ni mgumu''
"Watu hutumia muda wao katika kusafisha vyoo vyao lakini ingelikuwa vyema kama kila mtu angezingatia zaidi usafi wa bafu kwa kutumia madawa ya kuuwa bakteria."
1.Kuoga kwa kutumia kifaa cha kukumwagia maji mwilini kwenye bafu za manyunyu
Wataalamu wanasema unapotumia kifaa hiki kwenye bafu za manyunyu hunabudi kuwa makini sana, kwani kinapotumika baada ya kuzimwa kwa muda mrefu na kutumiwa tena hugeuka kuwa makao ya vimelea vya bakteria.
Hatari nyingine kwa watu wazima na watoto itokanayo na kifaa hicho (shower) ni uwezekano wa kuunguzwa na maji yanayotoka kwenye kifaa hiki ambacho kinaweza kuwa moto sana na kuuchoma mwili.
Msemaji wa kituo cha utafiti Rospa ameiambia BBC: " Tunawaomba watu kuweka maji baridi kwanza ndani ya beseni/ vidimbwi vya maji ya kuoga kwa ajili ya watoto . Kwa kufanya hivyo unawaepusha watoto na hatari ya kuungua kwao wanapojaribu kujifungulia maji ya moto.

Maoni
Chapisha Maoni