SENTENSI SABA ALIZO ZITAMKA BWANA WETU YESU KRISTO AKIWA MSALABANI KABLA HAJAFA NI HIZI:-
Uhakika media
1.Baba wasamehe hawa kwa kuwa hawajui watendalo.
2.Mama mtazame mwanao nawe mwana mtazame mama yako.
3.Msinililie mimi bali mjililie wenyewe na watoto wenu.
4.Eloi Eloi lama sabaktani-(Mungu wangu,Mungu wangu mbona umeniacha?)
5.Naona kiu.
6.Hakika wewe utakuwa nami leo hii peponi.
7.Yametimia, Mikononi mwako baba naiweka roho yangu.
Hapo akakata roho. Ewe mpenzi msomaji wa blog hii tunakuarika kushiriki katika mateso ya bwana wetu yesu kristo aliye teswa kwaajiri yetu wanadamu. SHARE na wengine wapate kushirikiana nasi

Maoni
Chapisha Maoni