Tetesi za soka ulaya
Uhakika media
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 28.03.2018: Gabriel Jesus amekataa mshahara mpya, City wanamtaka Isco
Saa 4 zilizopita
Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Mshirikishe mwenzako
Image
Gabriel Jesus amewaambia maafisa wa Ligi ya Primia na wale wa Brazil mkataba mpya ni mpaka msimu wa majira ya joto
Mshambuliaji wa Manchester City Gabriel Jesus, mwenye umri wa miaka 20, amekataa malipo ya £90,000- kutoka kwa viongozi wa Ligi ya Primia na wale wa Brazil na hivyo watalazimika kusubiri hadi msimu wa majira ya joto kujadili mkataba mpya . (Mail)
Manchester City wanammezea mate mchezaji wa kiungo cha kati wa timu ya Uhispania ya Real Madrid Isco, mwenye umri wa miaka 25 ambaye wanataka kumnunua £75m msimu wa majira ya joto . (Sun)

Maoni
Chapisha Maoni