Tanzania: Mbowe na maafisa wengine wa Chadema wasomewa mashtaka
27 Machi 2018
Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Mshirikishe mwenzako
Haki CHADEMAMEDIA / TWITTER
Image
Kiongozi wa Chadema Freeman Mbowe (kulia) ni mmoja waliosomewa masktaka
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na viongozi wengine wa chama hicho wameelezwa mashtaka 8 katika mahakama ya Kisutu kuhusiana na maandamano.
Viongozi hao wa upinzani wamesomewa mashtaka mbele ya Hakimu mkazi wa Kisutu Wilbard Mashauri.
Wakili wa serikali Faraja Nchimbi amedai kosa lao la kwanza ni kuandaa mikusanyiko ama maandamano yasiyo na uhali.
Miongoni mwa mashtaka waliyosomewa ni pamoja na maandamano yaliyosababisha kifo cha mwanafunzi wa chuo cha NIT Akwilina Akwiline.
Wanashtakiwa pia kuendelea kufanya mkusanyiko usio halali wilayani Kinondoni linalowakabili washtakiwa wote.

Maoni
Chapisha Maoni