FAIDA YA MBOGA YA MCHICHA NI DAWA YA KUTIBU MARADHI MENGI TU UKITUMIA. Uhakika media / 2 years ago
MBOGA YA MCHICHA HUTIBU MARADHI YAFUATAYO
Kuumwa mgongo
Kusafisha njia ya mkojo
Kusafisha damu
Unatibu tigo
Unatibu minyoo
Unatibu damu
Baridi yabisi
Tezi la shingo
Homa
Kuongeza damu
Unatibu maumivu
Tonic ya nywele
Unasaidia kupata haja ndogo kwa wingi
MATAYARISHO
Chukua mchicha kilo 1 chemsha maji lita 2 na nusu.
Yakichemka loweka mchicha kwa dakika 15. Tumia kikombe. Ni bora utumie yote kwa siku . Dozi ni siku 5
KUTIBU MGONGO
Chukua mchicha ponda. Chua mara 3 kwa siku. Usiku unapasha moto mchicha kisha unufunga mahali panapouma. Lala nao wakati vuguvugu la joto lake lenye maji ndani (dawa) ikiingia ndani fanyahivyo kwa siku 5, ukibadilisha kila siku (fresh)
TIBA YA TEZI LA SHINGO
Chukua mchicha kiasi kidogo, ponda, fungia shingoni pale penye uvimbe wakati unapolala kwa kitambaa, kwa muda wa siku 5.
Maoni
Chapisha Maoni