Taarifa kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu asubuhi ya leo March 21, 2018 ni kwamba Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corporation – NHC) Blandina Nyoni kuanzia leo
Pia Rais Magufuli ameivunja Bodi ya shirika hilo la NHC kuanzia leo.
Taarifa hiyo inaeleza kiwa uteuzi wa Mwenyekiti na bodi nyingine utafanyika baadaye.
Maoni
Chapisha Maoni