JINSI YA KUANDAA NA KUTAYARISHA LISHE MAALUMU YA KUONGEZA NA KUNENEPESHA MWILI
Uhakika media / 1 month ago
Asali Ya Tende |
Kukonda na kudhoofika mwili pamoja na kupungua uzito kupita kiasi ni jambo linalo weza kusababishwa na mambo mbalimbali kama vile kuugua maradhi mbalimbali au kuwa na msongo wa mawazo ( stress ) wa muda mrefu.
Asali Ya Tende ( Dates Syrup ) |
Kama wewe umekonda, umepungua uzito wako kupita kiasi na kudhoofu mwili na unataka kuongeza uzito wako, kunenepa na kurejesha afya ya mwili wako katika hali yake ya kawaida basi unatakiwa kufahamu namna na jinsi ya kuandaa na kutayarisha lishe maalumu ya kuongeza uzito na kunenepesha mwili.
MAHITAJI
Ili uweze kuandaa na kutayarisha lishe maalumu ya kuongeza uzito na kunenepesha mwili unatakiwa uwe na mahitaji yafuatayo :
1. Dawa Lishe maalumu ya kuongeza uzito na kunenepesha mwili : Hii ni dawa ya asili ambayo husaidia kuongeza uzito wa mwili pamoja na kuunenepesha mwili.
2. Asali ya Tende.
MATAYARISHO
1. Chukua vijiko viwili vikubwa vilivyo na dawa lishe kisha vitie ndani ya maji kiasi cha lita moja halafu chemsha hadi itokote kisha ipua iache ipoe hadi kuwa katika hali ya uvugu vugu na baada ya hapo unaweza kuhifadhi dawa yako kwenye chupa ( Thermos ) au chombo chochote utakacho ona kinafaa.
2. Tayarisha vijiko viwili vikubwa vyenye asali ya tende.
MATUMIZI :
1. Tumia kunywa kikombe kimoja kidogo chenye ujazo wa Milimita Mia Mbili na Hamsini ( 250 ).
2. Baada ya hapo kaa kwa muda wa dakika tatu au tano kisha chukua vijiko viwili vya asali ya tende na kisha tumia kula vijiko vyote viwili.
Utafanya hivyo mara mbili kwa siku asubuhi na jioni kwa muda wa siku thelathini.
Dawa hii inawafaa zaidi watu walio katika makundi yafuatayo :
1. Mtu alie poteza uzito kupita kawaida
2. Mtu alie konda na kudhoofika mwili pamoja na
3. Mtu anaetaka kunenepa mwili wake.
Kwa mahitaji yako ya dawa lishe pamoja na asali ya tende fika katika duka la Neema Herbalist lililopo jijini Dar Es Salaam katika eneo la UBUNGO jirani na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA.
Kwa waliopo jijini Dar Es Salaam ambao hawana nafasi ya kuweza kufika ofisini kwetu, tunao utaratibu w kuwapelekea dawa mahali popote walipo jijini Dar Es Salaam ( HOME & OFFICE DELIVERY )
Na kwa wateja waliopo nje ya mkoa wa Dar Es Salaam, tunatumia dawa kwa njia ya usafiri wa mabus mbalimbali.
Wasiliana nasi kwa simu namba 0766 -53 83 84.
Maoni
Chapisha Maoni