Kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa Didier Deschampsamenukuliwa na vyombo vya habari mbalimbali duniani akimzungungumzia kiungo wake wa kimataifa Paul Pogba anayeichezeaMan United ya England na atamsaidia kumfanyia counselling kipindi hiki cha mapumziko mafupi.
Pogba imeripotiwa hana raha baada ya kocha wa Man United Jose Mourinho kumuweka benchi katika game mbili zilizopita baada ya kuikosa game ya Liverpool kwa majeruhi hivyo Didier Deschampsamemwambia Pogba aweke pembeni mawazo hayo kabla ya game zaUfaransa za kirafiki dhidi ya Colombiana Urusi.
“Nimekuwa na utamaduni wa kufanya majadiliano ya kina na wachezaji kila ninapowaita timu ya taifa kwa sababu huwa sina taarifa zao zote, nimewaambia mchana huu kuwa ni mapumziko ya mechi za kimataifa na kila kitu kinachohusu ishu za vilabu vyao havipo, hali iliyopo kwa sasa Pogba hana furaha nayo”>>>
Maoni
Chapisha Maoni