Ureno 0-3 Uholanzi: Cristiano Ronaldo apigwa breki mjini Geneva
Saa 4 zilizopita
Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Mshirikishe mwenzako
Haki EPA
Mabingwa wa Ulaya Ureno walipokezwa kichapo cha kushangaza na Uholanzi katika mechi ya kimataifa ya kirafiki iliyochezewa mjini Geneva, Uswizi.
Winga wa zamani wa Manchester United Memphis Depay na mshambuliaji wa zamani wa Liverpool Ryan Babel waliwaweka Waholanzi 2-0 mbele

Maoni
Chapisha Maoni