Kim Jong-un amefanya ziara ya kushtukiza China?
Dakika 13 zilizopita
Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Mshirikishe mwenzako
Haki AFP/GETTY IMAGES
Image
Babake Kim Jong-Un, Kim Jong-il, hakupenda kutumia ndege kusafiri
Kuna tetesi ambazo zinaendelea kushika kasi kwamba afisa wa ngazi ya juu wa serikali ya Korea Kaskazini ambaye amefanya ziara ya ghafla nchini China ni kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un.
Vyombo vya habari Japan vilikuwa vya kwanza kuibuka na taarifa kwamba afisa wa ngazi ya juu mno kutoka Korea Kaskazinia alikuwa amewasili Beijing kwa kutumia treni maalum ya kidiplomasia.
Treni hiyo ilipokelewa kwa ulinzi mkali.
Korea Kusini imesema haifahamu ni nani huyo aliyefanya ziara hiyo lakini inafuatilia tukio hilo kwa makini sana.

Maoni
Chapisha Maoni