Uhakika media 3 · 4 hours ago
Chama cha wananchi CUF wlaya ya kinondoni wamelaani kitendo cha katibu mkuu wa hama hiko Maalim Seif Sharif Hamadi kufanya kongamano bila kufuata taratibu, za chama hasa kuhusiana na ujio wake.
Ambapo katibu mkuu wilaya ya kinondoni mohamedi Mkandu amesema jambo lolote kiongozi wa juu wa chama Taifa atakalolifanya katika ngazi zake za chini ni lazima awasiliane na katibu wa wilaya husika ili maandalizi muhimu yaweze kufanyika ikiwa ni pamoja na kuhakikisha usalama unakuwepo

TAZAMA FULL VIDEO HAPA.......... CHINI USISAHAU KU SUBSCRIBE..............
Maoni
Chapisha Maoni