Uhakika media 3 · 14 minutes ago
Wizara ya Viwanda, Biashara na uwekezaji ikishirikiana na taasisi ya TICE wamesema watafanya maonyesho ya ubunifu na uvumbuzi, yatakayofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja, jijini Dar es salaam. siku ya tarehe ishirini na saba hadi tarehe ishirini na tisa mwezi wa nne mwaka huu, ambapo maonyesho hayo yatazunguka katika mikoa mitano ambayo ni Mwanza, Arusha, Dar es salaam, Mbeya pamoja na Dodoma.
Maonyesho hayo yatahudhuriwa na viongozi wa kiserikali pamoja na balozi mbali mbali, ambapo waziri wa viwanda biashara na uwekezaji Mh. Charles Mwijage ndie atakae yafungua maonyesho hayo ambayo yatasaidia kuinua vipaji na kuonyesha uvumbuzi mbali mbali kutokwa kwa vijana wa kitanzania kujionyesha mambo makubwa wanayoweza kuyafanya.
Hayo yamesemwa na afisa mawasiliano wa wizara hiyo Bw. Edward Nkomola wakati akizungumza na waandishi wa habari leo katika ofisi za Taxify ambao hao pia ni wadhamini wa maonyesho hayo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI................USISAHAU KUSUBSCRIBE..................
Maoni
Chapisha Maoni