Meli ya abiria iliyozamishwa mwaka 1942 yaondolewa baharini
Uhakia media

Meli ya abiria ya Uingereza iliyozamishwa wakati ilishambuliwa kwa bomu na ndege za Japan wakati wa vita vya pili vya dunia, imeinuliwa kutoka baharini pwani mwa Sri Lanka baada ya miaka 75.
Manowari ya Marekani iliyozamishwa mwaka 1942 yagunduliwa baharini
SS Sagain, ambayo abiria wake wengi na mizigo iliokolewa mwaka 1942, imeinuliwa na kundi la wapiga mbizi kutoka kwa jeshi la wanaji wa Sri Lanka

Ilikuwa karibu umbali wa futi 35 chini ya bahari katika bandari ya Trincomalee.
Manowari ya jeshi la Marekani iliyozama miaka 72 iliyopita yapatikana
Shughuli ya kuiinua meli hiyo ilichukua miezi kadhaa na ilifanywa na kikosi cha wanamaji cha Mashariki mwa Sri Lanka.
SS Sagain kabla ya kushambuliwa

Maoni
Chapisha Maoni