Hali ya taharuki yatanda dar kwa familiya nne mtaa wa kibasila- upanga
Katika hali isiyokuwa ya kawaida leo Mtaa wa Kibasila, Kata ya Upanga Mashariki, jijini Dar es Salaam, kundi la mabaunsa wamevamia nyumba wanayoishi wanawake na kuwafanyia vitendo vya udhalilishaji.
Kamanda wa Polisi Mkoa Maalumu wa Kipolisi, Salumu Hamduni, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa wanamshikilia mtuhumiwa mmoja aliyeshiriki na wanaendelea na mahojiano huku msako kwa wahusika wengine ukiendelea.
Maoni
Chapisha Maoni