JIFUNZE UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA (BLOILER) KATIKA ENEO LISILOZIDI MITA 1 KWA KUKU 100
Uakika media/ 3 weeks ago
Eneo linalohitajika ni mita mbili (2), Kwa maana ya Urefu wa mita mbili (2) na Upana wa mita moja (1).
Huu ni ufugaji wenye tija kwa wale wafugaji wenye eneo dogo.
Huu ni ufugaji wenye tija kwa wale wafugaji wenye eneo dogo.
- Kinakachofanyika katika hilo eneo ni ujenzi wa ghorofa/shelves tano(5) kwenda juu kwa ajili ya kufugia kuku.
- Urefu unaoshauriwa wa kila shelf/chumba kimoja ni futi moja na nusu hadi mbili.
- Katika kilachumba/shelf unashauriwa kuweka kuku ishirini, kwa maana ya kuku 10 katika eneo la mita 1.
- Ukichukua idadi ya kuku katika kila chumba (20) mara idadi ya vyumba 5, watapatikana kuku mia(100) katika eneo la mita 2.
- Kumbuka kuwa unaweza kufanya mabadiliko mengine kulingana na eneo utakaloweka ghorofa la kuku.
Maoni
Chapisha Maoni