Leo March 18, 2018 Weusi kutoka Arusha wameachia Video ya wimbo wao waliomshirikisha Christian Bella‘NIJUE‘. Ni Nahreel kutoka The Industry ndo kai-produce wakati Video ikiongozwa na Hanscana.
Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama pia usisahau kuacha Comment yako ili waweze ona maoni yako juu ya wimbo wao.
Maoni
Chapisha Maoni