Leo March 19, 2018 Moja ya shughuli inayoendelea ikulu ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaDr. John Pombe Magufuli Ambae ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara anaongoza Mkutano wa 11 wa baraza hilo.
Akifungua mkutano huo Rais Magufuli amewataka wanaohusika na masuala ya Viwanda ndio wazungumzie Viwanda “Unamkuta mtu hana kiwanda lakini kila siku anazungumzia Kiwanda, hana kiwanda hata cha Pipi, nimeamua nyinyi wenye viwanda ambao mnazipata hizo changamoto tujue tatizo ni nini?”
Maoni
Chapisha Maoni