JULIUS MTATIRO ANAPASWA KUKAMATWA KUSAIDI UPELELEZI WA KUJITEKA. ABDUL NONDO.
.
Na David Maphone.
..
NI UJINGA KUSEMA KWAMBA JESHI LA POLISI LIMEMTEKA ABDUL NONDA KWA SABABU TU HALIJAMFIKISHA MAHAKAMANI.
.
Nimesoma maandiko ya Julius Mtatiro kuhusu sakata la KUJITEKA kwa kijana Abdul NONDA, Sasa nakubaliana na wengine kwamba Julius Mtatiro anapaswa Ima kukamatwa au kukimbizwa HOSPITAL DODOMA ili kuokoa Afya ya Akili yake, Katika andiko lake Mtatiro anasema JESHI LA POLISI kwa sababu halijampeleka Abdul NONDA Mahakamani kwa siku (12) wakiendelea na Uchunguzi ili kuwapata waliokuwa nyuma ya MPANGO wa kuchafua Taswira ya NCHI basi JESHI hilo LIMEMTEKA mtuhumiwa Abdul NONDA huu ni Upumbavu na unaweza kutamkwa na Kichaa tu.!!
,
Ukipitia maelezo yake aliyoyapa kicha cha habari ''WIKI MBILI ZA ABDUL NONDO KUTEKWA RASMI!'' Utadungua ni kwa namna gani kijana huyu alivyojenga CHUKI na Serikali,Jeshi la Polisi na nchi yetu Tanzania, Kila mtanzania kwa sasa anahitaji kujua ni nani yuko nyuma ya Abdul NONDA baada ya makelele mengi sana yakiongozwa na CHADEMA na MTATIRO huyo huyo kuhusu MAUAWAJI,na KUTEKWA WATU mbalimbali na wanaotenda matendo haya au MATUKIO haya hawajuilikani Iweje sasa tuwalaumu Jeshi la POLISI kuchelewa kumpeleka mtuhumiwa mahakamani kwa ISSUE NZITO kama hii? Lakini niwaulize viongozi wa JESHI LA POLISI hivi kauli kama hizi za Mtatiro munaziachaje zipite bila kumwita na kuhoji? Huku ni kulidhalilisha Jeshi la Polisi kwa kulifananisha na GENGE la waharifu ndio maana limemteka Abdul NONDO haiwezekani mharifu akawa anashikiliwa na Jeshi la POLISI mjinga mmoja akasema JESHI LA POLISI limemteka mtuhumiwa?.
.
Nimesema MTATIRO anapaswa kukamatwa kwa sababu Ukisoma Kichwa cha habari tu , Utaona mapungufu makubwa sana ya kisheria NANUKUU,'' WIKI MBILI ZA ABDUL NONDO KUTEKWA RASMI!'' Kwanza hapa anatufahamisha kwamba kutekwa kule kwa Awali kwa Mtuhumiwa Abdul NONDA hakukuwa kweli (RASMI) na kama kulikuwapo na watekaji kwa maana ya waharifu yeye kwake ni watu Safi, ila kwa Mtatiro tatizo lake ni kwa JESHI LA POLISI linalopambana na wao WALIOJITEKA na mshirika wao mmoja Abdul NONDA (KUKAMATWA) wao wanaona Katekwa na Maadui (JESHI LA POLISI) huu NDIO Mtazamo wa Mtatiro kupitia Kicha cha habari ONLY,, Sasa kwanini Mtatiro asikamatwe ili kusaidiana na mwenzake Abdul NONDO Ili kueleza LENGO haswa ni nini au MPANGO wao UKOJE na wako watu wangapi kwenye issue hiyo?
,
Mtatiro kama ni siasa basi hizi ni siasa za KISHAMBA sana,!! lazima tuonyeshe msimamo Kama Taifa tulikuwa tukilaumu Jeshi la POLISI kushindwa kuzuia UTEKWAJI wa RAIA sasa Jeshi limebaini kwamba kumbe wengine ni wahuni wenzio mnajiteka kisha mnapaka matope nchi, Sasa hutaki Jeshi liendelee na uchunguzi unataka NONDO akimbizwe Mahakamani ili nyinyi wengine muendelee KUJITEKA na kuchafua TASWIRA ya TANZANIA, Nitalishangaa sana JESHI LA POLISI kushindwa kukuhoji wewe (MTATIRO) kuhusu MPANGO huu wa KUTEKA, KUUWA NA KUTESA wewe kupitia andishi lako unanaonyesha Kwa DALILI zote unafahamu kila kitu, Kwenye MPANGO huu.
Mtazamo.....

Maoni
Chapisha Maoni