Msanii Lulu Diva ametuletea wimbo wake mpya unaitwa “Homa” na huu ametoa kama zawadi kwa mashabiki zake ikiwa ni muda mfupi tu toka achie wimbo wa “Amezoea” ambao unafanya vizuri mtaani, wimbo huu mpya una dakika 3:10 ukiwa umetayarishwa kwa Producer Abbar karibu kuusikiliza.
“Ningealikwa harusi ya Shilole ningeenda, nimerudia dini yangu” – MZIWANDA
FULL VIDEO: Uzinduzi wa Album ya Wakazi KISIMANI ulivyokuwa
Maoni
Chapisha Maoni