Uhakika media1 · 2 hours ago
Supastaa wa Bongo Movie, Wema Sepetu amelifunguka kuwa, hakuna mtu wa kumgombanisha na staa mwenzake, Aunt Ezekiel kwa kuwa wanapendana.
Katika mahojiano maalum, Wema ambaye mwishoni mwa wiki iliyopita alitupia picha karibia kumi kwenye ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa Instagram akiwa na Aunt alisema mara kwa mara wamekuwa wakigombana, lakini siyo kwamba hawapendani.
“Hakuna wa kunigombanisha na Aunt. Kama tunagombana, mtu wa pembeni anatakiwa kukaa kimya maana tukipatana mambo yanakuwa ni moto,” alisema Wema

Maoni
Chapisha Maoni