Leo March 19, 2018 Moja ya shughuli inayoendelea ikulu ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaDr. John Pombe Magufuli Ambae ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara anaongoza Mkutano wa 11 wa baraza hilo.
Katika taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ikulu, Gerson Msigwa kupitia ukurasa wa Twitter amesema kauli mbiu katika mkutano huo ni “Tanzania ya viwanda – ushiriki wa sekta binafsi”.
Maoni
Chapisha Maoni